Author Archives: DJ CHOKA

(Audio) Dipper ft Gentriez – U Got Me

Mwanadada Dipper amshirikisha  Gentriez katika "U Got Me",sweet reggae riddim juu ya mdundo wa Corner Shop Riddim na vocal pande za noizmekah studios chini ya Defxtro, Sikiliza/download HAPA na kwa mawasiliano na Dipper +255 765 852 314 powered ......
Continue Reading »

(News) Tash official Song Coming soon

Brand New Track Tash a.k.a Masai Tozi official Trak iliyotengenezwa na Mesen Selekta Soon Itakuwa Tayar,Kwa wale wapenzi WA MuleMule huu ndio mkao wa kufuraia ladha nyingine tofauti kutoka Kwa Tash........stay tune!!!!!...
Continue Reading »

(News) Dar, Pwani wakabidhiwa bodaboda zao

 Mshindi wa Pikipiki katika Promosheni ya Timka na BodaBoda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Bi.Hellen Kilawe akionyesha namba ya pikipiki aliyokabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu. Katika Hafla ya kukabidhi pikipiki kwa washindi wa mkoa wa Dar es...
Continue Reading »